Aslay - My Muna (Official Lyric Video)

Aslay Video 1 months ago

Description

https://Aslay.lnk.to/MyWay
https://www.facebook.com/AslayOfficial
https://www.instagram.com/aslayisihaka/
https://www.tiktok.com/@aslayisiaka

"MY MUNA LYRICS

My Maimuna
My Baby
Mai Muna
Mai wewe
Mai wewe
Mmmmh

Eti kumbe unapenda ninavyolia
ati kumbe unapenda ninavyoumia
ati kumbe kweli navyosikia
Eti kama nikifa msibani hutohudhuria

Aaah
Moyo wangu
sio wa chuma ni wa nyama
Mbona umeuchoma sana
Nimejitahidi niweze kusahau ya nyuma
Ila nahisi imeshindikana

Oooh
Mwili wangu
Mifupa mama
Nakonda nakonda sana
Ungesubiri tuwakuze wana
Umeondoka mapema sana
Naumiaa

Nilichokukosea ni kipi Maimuna
Mbona unanisusia watoto hutaki kuwaona
Kama upo mbali mi nauli nitatuma
Rudi tafadhali nipate japo Afya njema

Oooh
Nasononeka
Nasoneneka hata nikifa ujue ni wewe
Oohohohoo
Nateseka
Nateseka hata nikifa ujue ni wewe
Mmmh
My unanivuruga
Naa Mai wewe
sononeka hata nikifa ujue ni wewe
Mmmh
Oooh Mai unanichanganya
Na teseka hata nikifa ujue ni wewe

Zilipita Dakika
Yakaja na masaa
Siku zimekatika
sasa inafika mwaka
Bado nakukumbuka
Moyoni hujatokaa
Kama unanisikia
Rudi nyumbani sasa

sili silali chakula kinywani hakipiti
basi jibu hata meseji maana simu haushiki
Dhooful Hali nayasubiri tu mauti
Mkwezi mwenye mnazi leo nimekalia kuti

Nilichokukosea ni kipi Maimuna
Mbona unanisusia watoto hutaki kuwaona
Kama upo mbali mi nauli nitatuma
Rudi tafadhali nipate japo Afya njema

Oooh
Nasononeka
Na soneneka hata nikifa ujue ni wewe
Oohohohoo
Nateseka
Nateseka hata nikifa ujue ni wewe
Mmmh
My unanivuruga
Naa Mai wewe
sononeka hata nikifa ujue ni wewe
Mmmh
Oooh Mai unanichanganya
Na teseka hata nikifa ujue ni wewe

Oooh Mai Maimuna
Oooh Mai Maimuna
Rudi nyumbani mai wangu
Maimuna
Watoto wanakusubiri
Mai muna
"