Description
Aslay
Mtu Wangu ft. Kontawa
https://www.youtube.com/channel/UC6jcUzSgU5iiPVOb_zjiCkA
https://Aslay.lnk.to/MyWay
https://www.facebook.com/AslayOfficial
https://www.instagram.com/aslayisihaka/
https://www.tiktok.com/@aslayisiaka
Translating to ‘my person’ in Swahili, ‘Mtu Wangu’ builds on the emotional foundation laid by ‘Natulia’. Where ‘Natulia’ introduced a man at peace with his love, ‘Mtu Wangu’ moves deeper into that connection — intimate, assured, and unmistakably his. It is a celebration of choosing and being chosen, delivered through Aslay’s signature pen game, long revered across East Africa for its sincerity, relatability, and poetic precision.
MTU WANGU LYRICS
Heiiiiii
Mmmmmh mmmmmh mmmmh
Ololololo
My Baby
Nanana ah
I love you
Sikia
Alikujaga kudanga kunidangia mmh
ghafla kanogewa kaning’ang’ania
My weee
akashika na mimba kanizaliaa
Olololooo
hapo ndo penzi letu lilipoanizia
mmmmh
nikimpa pesa akaanza kuzikataa akiniona na demu anakuwa na wivu
nikaanza kumsahangaa
akija nyumbani kuondoka mvivu
Jama ikawa balaa
Nikawa nikimsema anapata maumivu
Ghafla nikaanza sinyaa
Yote sababu ni Mapenzi
ndo yanayofanya nimuelezee
Jama anayajua mapenzi
Naomba Mungu tuzeeke
Nimefunga mlango hakuna kuingia
Jama nikifa nitazikiwa hapa
Kafauru mtihani mia kwa mia huyu baby
Harusi tutaifanya kwa mkapa iiihhh ihhhh
Nasema na wewe
We ndo mtu wangu aaaah
Nyongo mkalia ini
Kipenzi changu
Mahabuba kipenzi changu
weee ndo mtu wangu
aaah jamanii
Kipenzi changu
Tulianza kama utani
ambao simba na yanga hawaufikii
yaani couple flani
kama Hamisa kitasa Azizi Ki
eeeh eeeh
Wakasema hazai
Mpenzi wangu
Mimba hawezi kubeba
Mi nikamfunga kamba
Nikamwambia baby kajifungue leba
Wakasema ana chai
bado nikaona shega
Nikaagiza vitafunia nikaanza kumega
watu wanataka majibu nilivyo bandidu
Imekuaje tunapendanaa
eeh eeeh eeeh
Mwenzenu nilijaribu kama Nguo
Nikapenda inavyobana
na sasa
Nimefunga mlango hakuna kuingia
Jama nikifa nitazikiwa hapa
Kafauru mtihani mia kwa mia
Harusi tutaifanya kwa Mkapa
oohhhh ohhhh
Nasema na wewe
We ndo mtu wangu
aaaah
Nyongo mkalia ini
Kipenzi changu
Mahabuba kipenzi changu
weee ndo mtu wangu
aaah jamanii
Kipenzi changu