Description
https://Aslay.lnk.to/MyWay
https://www.facebook.com/AslayOfficial
https://www.instagram.com/aslayisihaka/
https://www.tiktok.com/@aslayisiaka
‘Kipemba’ is amongst the standout collaborations on 'My Way' featuring Chino Kidd on the Amapiano-influenced track.
"KIPEMBA LYRICS
Hello
Miss you my Baby
aaah chinno wanaman
Mi siko fine baby toka umeondoka
I say goodbye nahisi nakufakufa
Umesepa Bunduki katikati ya Vita
Upo kwa foleni We umewasha mataa aaai
I miss you everyday everyday
uko wapi nitakufata anyday
Moyo kung Fu umechoka utafeli
Nikaja kubaka kuku
kisa ugwadu we mwali eeeh
Kipemba kaua penzi eeeh
kaleta maneno ya uongo ooooh
Kipemba kaua penzi eeeeeh eeeh
kaleta maneno ya uongo
Mmmmmh kaleta maneno ya uongoo
Nilimuamini bila kujua
kuwa yeye ndo ataniua
Nilimuonyesha mpenzi nikampa kisogo
Kumbe nyuma kayazuaa
yetu mapenzi yalichanua
tena kupika na kupakuaa
yaani mi natoa case kaongeza case
Kazoea kunichafua na ukimuona
alivyonona
utasema si ndo mtu wa kumuamini na kumwambia kila kitu
kumbe foreigner
kichwani koloma
ameshalijua jiji kawa gwiji sikujua mtu kitu
yule mtoto wa kiume ana kitambi
Udaku ka mange kimambi
amefanya uniache niteseke
hajui kukuacha ni dhambi
I miss you everyday everyday
uko wapi nitakufata anyday
Moyo kung Fu umechoka utafeli
Nikaja kubaka kuku kisa ugwadu we mwali
eeeh
Kipemba kaua penzi eeeh
kaleta maneno ya uongo ooooh
Kipemba kaua penzi eeeeeh eeeh
kaleta maneno ya uongo
"