Mahojiano na Naibu Waziri wa Wizara ya Vijana Urusi (Rosmolodezh), Leyla Zotova | Sentro July 17

CLOUDSMEDIA Video Yesterday

Description

Kitivoni Sentro ni Mahojiano na Leyla Zotova ambaye ni Naibu Waziri wa Wizara ya Masuala ya Vijana Urusi (Rosmolodezh) akieleza uhusiano baina ya mataifa mawili hasa upande wa vijana #SentroCloudsTV #AllyKashmiry