Description
Ianze siku yako kwa kutufuatilia kupitia kipindi cha Clouds 360 ya Clouds Tv ujionee habari mbalimbali za ndani na nje ya Tanzania, mastori ya town na kunani Tanzania na Dkt. Sam Sasali, Sophia Kessy, Paul James (PJ) na James Tupatupa #Clouds360 kuanzia 12:30 live on @Cloudstv #LainiYaWana #Nyoosha #MalkiawaNguvu.