MFUNGWA Aliyeitikisa Dunia kwa Kutoroka na HELIKOPTA Gereza Lenye Ulinzi Mkali DUNIANI

Charles Kombe Video Score 55

説明

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe

Katika makala ya leo tunamuangazia moja ya wahalifu wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea katika historia ya Taifa la Ufaransa. Mhalifu huyu alifanikiwa kufanya matukio ya kihalifu kwa mipango mikali na kujizolea sifa miongoni mwa wananchi kutokana na akili yake ya kipekee.

To support my channel👇🏼👇🏼👇🏼
Buy me a coffee: https://buymeacoffee.com/charleskomf
Mobile Money (Airtel): +255782100209

For brand and partnership inquiries: onlyjenerali@gmail.com