Chweezy - I Believe (Official Video) [ @Elani Muziki [SKIZA 5966594] SMS to 811

Elani Muziki Video Score 55

설명

Performed by Bryan “Chweezy” Chweya
Lyrics: Bryan “Chweezy” Chweya
Produced & Recorded by Saint P
Mixed & Mastered by Saint P

Executive Production Manager : Mohamed Noor
Executive Video Producer 1: Action Pac Media
Executive Video Producer 2 : Frux
Executive Creative Director : Frank Nyaga
Executive Creative Team : Alex Nyandieka ,Benson Arisa ,Frank Nyaga
Executive Project Coordinator : Benson Arisa
Make Up Artist : Lydia
Wardrobe : Shop8_ke
Executive Logistics Manager : Jackson Bisera

Special Thanks:

Marylyn Nduku
Melvin Mbuthia
Ted Agwa
Benali
Benja
Elani Company Limited
Maureen Kunga
Wambui Ngugi
Saint P & Chweezy
Make Up : Lydiagats_makeover

LYRICS

I Believe, I Still Believe
In You and Me

Tananana
Lalalala….
Nakupenda Ma, Sana
Ooh Lalalala….Nakuwaza

Uliuliza Nini Nacho Kitaka
Iliniweze Anza Mwaka
Nikasema Ni Moyo Wako Tu
Najua Umechoka Na Takataka
Uliacha Yote Mwisho Wa Mwaka
Naomba Nafasi Ya Moyo Wangu Tu
Coz
Baby I Believe, I Still Believe In You and Me * 2

Na Kwenye Mapenzi Wakati Mwingine Unaumia
Unayempenda Anakupa Pressure
Yuakuzingua
Nayo Mapenzi Ni Matamu Huwezi Zuia
Ukionja Tu…Wewe Umebebwa Juu

Basi Njoo Unipe Penzi Baby
Bado Mie Nakupenda Baby
Jua Mie Nakuwaza Daily,Oh Nanana*2

Coz
Baby I Believe…I Still Believe In You and Me *2

Na Kwenye Mapenzi Wakati Mwingine Unaumia
Unayempenda Anakupa Pressure Yuakuzingua
Nayo Mapenzi Ni Matamu Huwezi Zuia
Ukionja Tu…Wewe Unabebwa Juu

Basi Njoo Unipe Penzi Baby
Bado Mie Nakupenda Baby
Jua Mie Nakuwaza Daily …Ooh Nanana*2
Coz
Baby I Believe , I Still Believe In You and Me*2