Description
Hakuna kinachogusa moyo kama injili inayohubiriwa kwa njia ya uimbaji. Ungana na Kwaya St. John Paul II Kibangu @st_johnpaul_kibangu Jumapili hii kwenye #GospelTraxx kuna mengi unatakiwa kuyajua kutoka kwao.
Cc; @hurumacharles @favvie_tz @pastordolaa @yuda_jay @bishop_jilangila..
#GospelTraxx
#Clouds26Nyooshaa