Akili na Marafiki Wakimsaidia Kifaranga | Maneno Mapya na Akili na mimi | Katuni za Watoto

Akili and Me - Kiswahili Video Score 55

説明

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!

Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.youtube.com/c/AkiliKiswahili/featured?sub_confirmation=1

Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

http://www.akiliandme.com
http://www.facebook.com/akiliandme

Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains

#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe